Sunday, February 16, 2014

OMOG ASHINDWA KUTETEA TAJI LAKE

Posted By: Unknown - 6:20 PM

Share

& Comment


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjuPnnbdcqodJOuooOIqOuZrHqNmAq1rT9RQ8ZwupVFXrTPasA8pGFErgvJ7-XqLvsBtLi1MyF3rLs-HBhnOJG06NVJu9aRnMrAwLdGOTVWHF_WVEjUKxEcoAhulGMEIXjwg9NcPa5f3ipv/s1600/OMOG.jpg

  Kocha wa Azam FC Joseph Omog leo amevuliwa ubingwa wa kombe la Shirikisho barani Afrika alio uchukuwa mwaka jana akiwa na timu ya  AC Leopards ya Kongo Brazaville. baada ya timu yake ya AZam FC kukubali kichapo cha goli 2-0 toka kwa Ferroviario da Beira.

Magoli ya  Ferroviario da Beira  katika mchezo huo yalitiwa kimiani na mchezaji  Mario Sinamunda na kupelekea Azam FC kutolewa kwa jumla ya goli 2-1.

Mchezo wa leo ulikuwa wa marejeano baada ya ule wa mwanzo uliochezwa katika uwanja wa Azam complexs kumalizika kwa Azam FC kushinda goli 1-0 na leo kukubali kipigo cha goli 2-0.

Azam FC wakishiriki kwa mara ya pili mfululizo katika mashindano hayo ya kombe la shirikisho, wata elkeza nguvu zao katika michuano ya ligi kuu ya vodacom ambayo mpaka sasa wanaonghoza wao kuhakikisha mwakani wanapata fursa ya kuiwakilsha nnchi katika michuano ya klabu bingwa Afrika ama kombe la shirikisho.

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.