Azamfans Majimatitu
Kwa
wale wanaoijua soka,haya ni matokeo ya kawaida,Azam Fc bado itabakia
kuwa timu bora hapa Tanzania ,hatuna nafasi ya kulaumiana,kutupiana
virago AMA kutafuta mchawi (hizo ni Tabia za Kariakoo),sisi tunajenga
na ujenzi huwa kwa hatua,tulianza na moja sasa tupo 99,Mwakani ni klabu
bingwa,Azam Fc,professionalism
is what you do,we learn from every stage ,how can we succeed without
loose !?time will tell and one day God will stand on our side,even
Brazilians National team is defeated !Pamoja Azam Fc!Karibu nyumbani
kifua mbele,sisi tupo kwa ajili ya Azam Fc
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Maoni:
Post a Comment